Karibu Nassa Boy Media FM, redio ya habari, burudani, miziki, story na michezo kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Tunakuletea vipindi vya asubuhi, habari za moto, mahojiano na wasanii, muziki wa Bongo Flava, Singeli, Amapiano na Gospel. Sikiliza matangazo yetu live kila siku, shiriki kwenye vipindi na tuma salamu kwa wapendwa wako. Nassa Boy Media FM ni sauti ya vijana, sauti ya mtaani, sauti ya kweli. Endelea kutusikiliza na tufollow Instagram na Facebook ili usipitwe na habari mpya na vipindi vikali.